×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais alaumiwa: LSK yalaumu Rais kuhusu majaji, huku wakitaka majaji 41 kuapishwa

12th June, 2020

        Mwenyekiti wa chama cha wanasheria nchini tawi la nairobi

        eric theuri amemtaka rais uhuru kenyatta kuwa katika

        msitari wa mbele kwa kuheshimu sheria na maagizo ya

        mahakama ili kuweka imani ya wananchi kwenye mahakama.

        wanasheria hao wameunga mkono shinikizo la jaji mkuu

        david maraga la kumtaka rais uhuru kenyatta kuwateua

        maramoja majaji 41 waliopendekezwa na tume ya kuajiri

        maafisa kwenye idara ya mahakama, jsc.  Theuri alimshutumu

        mkuu wa sheria kihara kariuki kwa kumpotosha rais na

        kujaribu kuteka mahakama.

 

 

.
RELATED VIDEOS