12th June, 2020
Katika makala ya mirindimo leo tunaangazia siasa za kaunti
ya kirinyaga, mizozo katika vyama vya ford kenya na anc
mbali na kupata densi ya twisti ikiongozwa na gavana wa
vihiga wilber otichilo akimkumbuka mwanamuziki marehemu
john nzenze. Paul nabiswa anakupa ngoma hiyo ya mirindimo