×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Bukhagunga Wateta huku wakihofia kuathirika kiafya kwa vilipuzi vya machimbo eneo hilo

12th June, 2020

Mamia ya familia zina hofu katika kijiji cha bukhagunga,

        malava, kaunti ya kakakmega baada ya kampuni ya uchina

        inayotengeneza barabara ya kutoka kakamega kuelekea

        webuye kudaiwa kukataa kulipa fidia familia zilizoathirika na

        shughuli za uchimbaji mawe katika kijiji hicho. Inadaiwa

        vilipuzi vimesababisha baadhi ya kina mama kuavya mimba na

        wamiliki wa chimbo kukosa kulipwa. Willy lusige na taarifa

        zaidi

.
RELATED VIDEOS