.
3rd June, 2020
Afisa wa mkuu wa polisi wa kitengo cha dci eneo la embu amefikishwa mahakamani kwa madai ya kumbaka mwanamke aliyezuiliwa katika kituo cha polisi cha manyata akishukiwa kulaghai jamaa moja. Jijini nairobi mkuu wa mashtaka ya umma noordin hajji ameagiza kufunguliwa mashtaka dhidi ya afisa wa polisi duncan ndiema aliyedaiwa kumpiga risasi mvulana yasin moyo kutoka eneo la kiamaiko. Sirajurahman abdullahi na taarifa zaidi.