.
14th May, 2020
Kina mama wajawazito maeneo mbalimbali wanahangaikia nyumbani kiasi cha kujifungulia nyumbani kwa usaidizi wa wakunga wa kienyeji.
Katika hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga idadi wa kina mama wanaotembea hospitalini humo imepungua kwa kiasi kikubwa huku wengi wakisema wanahofia kutembelea hospitali wasije wakapatikana na dalili sawia na zile za virusi vya Korona.