×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MZIGO WA FIGO: Bwana mmoja ahangaika baada ya ndugu zake kujaribu kumpokonya ardhi

14th May, 2020

Jamaa mmoja katika kijiji cha Emusioma kaunti ya Kakamega anaishi na masaibu miaka 15 baada ya kumkabidhi nduguye moja ya figo zake alipopatwa na maradhi ya figo.

Nduguye aliitumia figo hiyo kwa miaka kumi kabla ya kufariki. Sasa ikidaiwa nduguze wanataka kumtimua kutoka kwa shamba la familia kwa madai alipewa zawadi ya shamaba jingine na marehemu kama shukrani ya kumpa figo.

.
RELATED VIDEOS