22nd February, 2020
Viongozi Wa Jamii Ya Maasai Wamepinga Pendekezo La Kubuniwa Kwa Ngazi Ya Tatu Ya Uongozi Wa Serikali. Kinara Wa Odm Raila Odinga Hata Hivo Amesisitiza Kuwa Ni Sharti Katiba Ibadilishwe Kupitia Kura Ya Maamuzi. Ni Baadhi Ya Mapendekezo Yaliyoibuka Kwenye Mkutano Wa BBI Ulioandaliwa Leo Kaunti Ya Narok Ambapo Baadhi Ya Viongozi Kutoka Eneo Hilo Walisusia Kwa Madai Kuwa Walikuwa Wametengwa Katika Maandalizi Ya Mkutano Huo. .