×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wawekezaji binafsi wa ujenzi wa nyumba wamejitolea kuendeleza ujenzi nafuu

19th March, 2019

Ili kufanikisha ajenda nne kuu za serikali, baadhi ya wawekezaji binafsi wa ujenzi na uuzaji wa nyumba sasa wamejitolea kuendeleza ujenzi nafuu wa nyumba ili kuwawezesha wakenya kununua na kumiliki nyumba. Mtaani ngara, kampuni ya erdemann property limited, imezindua mradi wa kujenga nyumba kumi za ghorofa thelathini na nne kila moja, huku kila jumba likiratibiwa kuchukua takribani familia mia tatu. Ujenzi wa nyumba hizo utaendeshwa chini ya sera mpya za serikali ya kaunti ya nairobi kuhusu ujenzi na uboreshaji wa makao. Mtaa wa ngara ni miongoini mwa mitaa sita katika kaunti ya nairobi, iliyoratibiwa kwa awamu ya kwanza ya ujenzi wa nyumba nafuu. Maeneo mengine ni ngong road, suna road, pangani, new ngara na old ngara.

.
RELATED VIDEOS