×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Spika wa Kaunti ya Kakamega atimuliwa na Wabunge wa Kaunti

16th October, 2018

Palishuhudiwa patashika katika bunge la kaunti ya kakamega hivi leo baada ya waakilishi wadi kumtimua afisini kwa nguvu spika wa bunge hilo  morris buluma wakimshutumu kwa kuhusika katika ubathirifu wa fedha za kaunti hiyo zilizotengewa mradi wa ujenzi wa nyumba na mikopo ya magari. Waakilisha hao kisha walimuapisha spika mpya kuchukuwa nafasi ya buluma. 

.
RELATED VIDEOS