.
27th August, 2018
Hatimaye familia ya mwendazake waziri wa zamani Njenga Karume imetangaza kuondoa kesi ya mzozo kuhusu urithi wa mali yake mahakamani. Karume aliyefariki februari 2012 aliacha mali inayokisiwa kuwa na thamani ya mabilioni ya fedha lakini familia yake na washika amana wameshinda wakizozana mahakamani.