×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhuni viwanjani kutokana na vikundi vya mashabiki wa vilabu vya soka nchini

5th May, 2016

Kwa miaka kadhaa sasa vikundi kadha vya mashabiki wa soka nchini hujihusisha na visa vya kuzua rabsha katika michuano tofauti nchini. Katika mwamko mpya sasa wadhamini wa ligi kuu nchini SportPesa wanatarajia kuwa maafisa wa usalama watajizatiti ipasavyo kukabiliana na janga hilo. Haya yanajiri huku wengi wakiwa na ari ya kuona udhamini wa AFC Leopards na ule wa Gor Mahia umerejeshwa baada ya kusimamishwa kwa muda; sababu kuu ikiwa ni visa vya baadhi ya mashabiku kuzua rabsha wakati wa michuano. Wizara ya usalama wa ndani imekiri kuwa itasaidia katika kuhakikisha kuwa visha potovu vya mashabiki uwanjani vinakabiliwa ipasavyo. Katibu wa wizara ya usalama ya ndani Micah Pkopus Powon, amekiri kuwa serikali itaongeza idadi ya maafisa wa pilisi watakao kuwa wakihudhuria mechi za ligi kuu ya kandanda nchini
.
RELATED VIDEOS