Mama apatikana hai katika mafuriko wa jengo la Huruma
5th May, 2016
Tunaanza taarifa zetu kwa kisa ambacho kimewashangaza wengi. Maafisa wa uokoaji katika mkasa huruma wamemwokoa mwanamke aliyekuwa hai licha ya kukwama kwenye vifusi kwa sita bila maji wala chakula haya yanajiri huku idadi ya waliokolewa ikifika mia moja thelathini na saba huku walioaga wakiwa thelathini na sita , mwanahabri hussein mohammed ameshuhudia harakati za uokoaji leo.