Rais Uhuru na William Ruto wamewaongoza ibada ya shukran Nakuru
16th April, 2016
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wamewaongoza wakenya katika ibada ya shukran huko Nakuru. Katika hotuba zao kenyatta na ruto wamewataka wakenya kutojihusisha na vitendo vinavyoweza kusababisha ghasia. Kadhalika uhuru amewaonya wanasiasa watakaochochea wananchi kuwa watachukuliwa hatua kali.