×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bei ya petroli yashuka kote nchini

14th April, 2016

Bei ya petroli imeshuka kote nchini . Hii ni baada ya tume ya kuthibiti kawi ERC kutangaza mabadiliko katika bei za mafuta kote nchini . Bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa shilingi 4 na senti 87 na kuwa shilingi 80.71 kwa lita moja jijini nairobi ilhali dizeli ikiwa imepanda kwa senti 53 . Bei ya mafuta taa imepanda kwa shilingi moja na senti 81 . Bei hizo zitaanza kutekelezwa kutoka kesho tarehe 14 hadi tarehe klumi na nne mwezi wa Mei .
.
RELATED VIDEOS