×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafanyabiashara wanaotengeneza maziwa gushi ya yoghurt kutumia kemikali wanaswa Nakuru

11th April, 2016

Mtazamaji iwapo una uraibu wa mtindi au yoghurt ukipenda yafaa sasa uanze kutahadhari kila unaponunua maziwa hayo yaliyoganda… hii ni baada ya wizara ya afya ya umma kuwanasa wafanyabiashara katika kaunti ya Nakuru wanaotengeneza maziwa haya ila hawatumii hata tone la maziwa haswa. Inaarifiwa wamekuwa wakichanganya kemikali kupata mchanganyiko unaotoa ladha ya maziwa.
.
RELATED VIDEOS