KTN Leo Kamilifu Michezo April 8 2016 -
8th April, 2016
Shujaa wamewatitiga Samoa alama 24 bila jibu kwenye mechi ya ufunguzi ya kundi a katika mkondo wa hong kong. Vijana hao wa benjamin ayimba watapambana na New Zealand katika mechi ya pili hapo kesho mwendo wa saa kumi na mbili alfajiri.