Zoezi la kuwaajiri maafisa wapya wa polisi nchini Kenya laanza rasmi
4th April, 2016
Zoezi la kuwaajiri maafisa wapya wa polisi nchini Kenya lilianza rasmi huku jiji la Nairobi likiwa miongoni mwa miji mingine kaunti mbalimbali iliyoshuhudia ujisajili wa makurutu.