×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais mstaafu Daniel arap Moi atoa wito kwa serikali kutopapia kuondoa mfumo wa elimu wa 8-4-4

3rd April, 2016

Rais Mstaafu Daniel Arap Moi ametoa wito kwa serikali kutopapia mambo katika juhudi za kubadilisha mfumo wa elimu kutoka 8-4-4 hadi mfumo mpya. Moi amesema haya alipohudhuria maombi maalum katika shule ya upili ya Sunshine kwa wanafunzi waliopita mtihani wa mwaka jana Saida Swaleh anaarifu
.
RELATED VIDEOS