Chanjo dhidi ya Malaria kupunguza makali ya Malaria kwa asili mia hamsini
16th March, 2016
Utafiti wa chanjo dhidi ya malaria umeonyesha kuwa chanjo hiyo itapunguza makali ya malaria kwa asili mia hamsini. Haya yameibuka baada ya utafiti huo kufikia awamu ya tatu huku ikisubiri shirika la afya duniani kuiidhinisha.