Jopo la kuchunguza madai ya ufisadi dhidi ya Jaji Tunio yaapishwa
2nd March, 2016
Mwenyekti wa bodi ya uchujaji wa majaji na mahakimu sharad rao ameapishwa kama mwenyekiti wa jopo la kumchunguza jaji Philip Tunoi , Sharad aliapishwa katika mahakama ya juu mapema hii leo , hii ni licha ya madai kuwa jaji mstaafu havelock angeongoza jopo hilo , mwanahabari Hussein Mohammed anaaangazia swala hili kwa kina