Elewa Sheria: Makosa gani aliyofanya rubani aliyenaswa akimpiga afisa wa polisi wa kike
24th February, 2016
Kufuatia kukamatwa kwa rubani aliyenaswa kwa video akimpiga afisa wa polisi wa kike katika kaunti ya Nyandarua na sasa atalazimika kulala korokoroni kwa siku 5 zijazo baada ya kushtakiwa katika mahakama ya Kinangop, maswali yameanza kuibuka kuhusiana na wajibu wa maafisa wa polisi kwenye mchakato wa kuwazuia watu kuelekea katika baadhi ya maeneo,elvis kosgei anayatafutia majibu kwenye makala maalum ya elewa sharia