Ulinzi Stars yacharaza Tusker FC
20th February, 2016
Baada ya sare tasa katika mechi yao ya kwanza dhidi ya sony sugar wikendi iliyopita – timu ya Ulinzi Stars ilijikakamua na kuzoa ushindi muhimu katika mechi yao ya pili hivi leo dhidi ya tusker. Hivi ndivyo mabao hayo yalivyo fungwa.