Stanley Okumbi ndiye kocha wa stars
20th February, 2016
Aliyekuwa mkufunzi wa mathare united Stanley Okumbi ameteuliwa kocha mpya wa timu ya taifa Harambee Stars katika uzinduzi wa benchi la kiufundi uliofanywa na shirikisho la kandanda nchini FKF. Okumbi atachukua pahala pa Bobby Williamson ambaye amesimamishwa kazi.