Mwanafunzi anyimwa hati yake ya mtihani wa KCPE kwa kupoteza Kamusi ya shule
15th February, 2016
Mwanafunzi mmoja aliyekamilisha masomo yake ya darasa la nane na kupata alama 370 amenyimwa fursa ya kupata ufadhili na hata kujiunga na kidato cha kwanza kwa kukosa hati ya mtihani wa KCPE. Inadaiwa mwanafunzi huyo alinyimwa hati hiyo baada ya kupoteza Kamusi ya shule.