Chama cha walimu nchini KNUT chatishia mgomo
14th February, 2016
Chama cha walimu nchini KNUT kimelalamika kuwa serikali haijawajibikia ahadi kwa walimu pamoja na kujaribu kulemaza utendakazi wa chama hicho. Katibu mkuu wa KNUT Wilson Sossion ametishia mgomo iwapo serikali haitawajibika.