×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakfu wa Wings To Fly yahimiza jamii kufadhili wanafunzi waliokosa karo

3rd February, 2016

Zaidi ya wanafunzi 200 waliopata alama za juu kwenye mtihani wa KCPE maeneo ya Ruiru, Juja na Thika wana changamoto ya kujiunga na shule za upili kutokana na ukosefu wa karo. Baadhi ya wafadhili kutoka kwa wakfu wa Wings To Fly unaoongozwa benki ya Equity wametoa wito kwa jamii kuwafadhili wanafunzi hao ili wasikose elimu.
.
RELATED VIDEOS