Waziri wa elimu Fred Matiang'i ajitolea kukomesha unyakuzi wa ardhi za shule kote nchini
2nd February, 2016
Waziri wa elimu Fred Matiang'i ametoa agizo kwa wakuu wa shule kuhakikisha kuwa taasisi zao zimepata vyeti vya umiliki wa ardhi za shule hizo. Akizungumza kwenye hafla ya maafisa wa elimu mjini Kisumu Matiangi amesema amejitolea kuhakikisha kwamba unyakuzi wa ardhi za shule umekoma kote nchini..