Wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii waandamana kupinga kufungwa kwa bewa la Migori
26th January, 2016
Wanafunzi wa bewa la Migori la chuo kikuu cha Kisii wameandamana leo mjini Migori kupinga hatua ya tume ya elimu ya chuo kikuu kutaka kufungwa kwa bewa hilo. Maandamano hayo yalitatiza shughuli za kibiashara katika mji hu mchana le.