Waziri wa madini Dan Kazungu: Ipo haja ya kubaini utajiri wa madini yaliyo nchini Kenya
24th January, 2016
Ipo haja ya kubaini utajiri wa madini yaliyo nchini Kenya. Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa madini Dan Kazungu aliyesema kuwa kwa miongo mingi kenya haijatambua fika thamani ya madini yake ilhali yanakadiriwa kuwa ya matrilioni ya pesa. John Juma anaripoti