×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtu mmoja aaga dunia na wengine wane wanauguzwa hospitalini baada ya kula walichodhania kuwa asali

24th January, 2016

Mtu mmoja ameaga dunia leo asubuhi huku wengine wanne wakiuguzwa hospitalini katika kaunti ya Nyeri baada ya kuila bidhaa walioidhania kuwa asali ya nyuki waliyoipata katikati ya kipande cha mti. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Lofty Matambo,wadudu walioitengeneza asali hiyo bado hawajaeleweka vyema.
.
RELATED VIDEOS