Elewa Sheria: Kanuni zinazotumika katika utumiaji wa mitandao ya kijamii
6th January, 2016
Mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Twitter au hata ile chupuza ina mvuto si haba. Wakenya wameibukia kuipenda sana lakini ni kanuni zipi zinazotumika katika utumiaji….katika makala ya kwanza ya Elewa Sheria mwaka huu mwanahabari Francis Mtalaki analidadisi suala hili kwa kina.