Hapa Kazi Tu: Watanzania wafurahia utendakazi wa rais John Pombe Magufuli wakisherekea mwaka mpya
2nd January, 2016
Tuvuke kiasi hadi mjini Dar es Salaam nchini Tanzania, sherehe za mwaka mpya zimefanyika kwa amani, huku Watanzania wakifurahia utendakazi wa rais mpya John Pombe Magufuli na hata kuiga kauli mbiu ya kampeni zake ya Hapa Kazi Tu, kuwa ndiyo kauli mbiu yao mwaka huu. Rajabu Hassan ndiye ripota wetu wa Tanzania