×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Washukiwa wa wizi waokolewa na polisi baada ya kufumaniwa na wakaazi wakiiba pombe Kakamega

28th December, 2015

Polisi wa utawala waliwazuia wakaazi wa Khayega, kaunti ya Kakamega kuwapiga washukiwa watatu wa wizi baada ya kuwafumania wakiiba katika duka moja la kuuza pombe. Wakaazi wanadai wezi hao walikuwa wamepora duka hilo la ingo jana usiku na waliporudi kwa mara ya pili, walishindwa kutimiza nia yao.
.
RELATED VIDEOS