Chama cha walimu KUPPET chatishia kuwafurusha makamishna wa tume ya TSC
19th December, 2015
Kongamnao la kitaifa la chama cha walimu wa shule za upili na taasisi za elimu ya juu (KUPPET ) limefanyika huko Bungoma huku wanachama wake wakisema wanataka kuanzisha mchakato wa kukusanya saini milioni moja kuwafurusha makamishna wa tume ya huduma za walimu nchini.