Asilimia 60 ya mradi wa reli wa kisasa Standard Gauge Railway yakamilika
17th December, 2015
Ni mwaka moja sasa tangu ujenzi wa mfumo wa reli wa kisasa almaarufu Standard Gauge Railway kuanza. Asilimia 60 ya mradi huo umekamilika huku kukiwa na matarajio kwamba asilimia iliyosalia itakamilika mwezi juni 2017.