Mahakama ya Kenya yasemekana kuathiriwa pakubwa na visa vya ufisadi
10th December, 2015
Mahakama ya Kenya imetajwa kuwa katika hatari ya kuathiriwa pakubwa na visa vya rushwa kwani vimeongezeka mno tangu 2010. Utafiti uliofanywa na shirika la transparency international umebaini kuwa visa hivi vimepunguka kati ya maafisa wa polisi.. Nick wambua anaarifu.