Jamii ya Ogiek eneo la Chepkitale mlima Elgon yaomba kutengewa arthi ya jamii
5th December, 2015
Jamii ya Ogiek eneo la Chepkitale huko mlima Elgon imetoa wito kwa tume ya ardhi nchini kuwatengea sehemu ya msitu wa mlima huo. Wanashikilia kwamba msitu huo umekuwa makazi yao kwa muda wa miaka mingi na kwa sasa wanataka kusajiliwa kwa eneo lao la msitu kama ardhi ya jamii mbali na kutaka na kupewa hati miliki.