ELIMU NA TAALUMA 30th November 2015 Visa vya wanafunzi kushindwa kuona
30th November, 2015
Huenda kuwa mtoto wako yuko darasani na anataabika kusoma na kuandika pasi na wewe au mwalimu wake kujua. Mtazamaji haya ni kulingana na ripoti iliyotolewa na shirika la uwezo. Haya yanajiri huku mwanafunzi mmoja kutoka kaunti ya Taita Taveta akikosa shule mara kwa mara licha ya matokeo yake mema darasani kutokana na matatizo ya macho anayokumbana nayo.