×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Hatimaye waziri wa ugatuzi Bi Anne Waiguru ajiuzulu kufuatia shinikizo za Wakenya

21st November, 2015

Shinikizo za Wakenya zilidhihirika wazi na kumpelekea waziri wa ugatuzi na mipango ya taifa Anne Waiguru kujiondoa afisini. Kwenye mkutanon na wanahabari mapema alasiri ya leo, Waiguru ametaja hali yake ya afya kama sababu kuu ya kujiuzulu baada ya kushauriwa na daktari wake. Shinikizo za Waiguru kujizulu zilianza pale alipoeleza kuwa shilingi milioni 791 zilipotea katika wizara yake, chini ya mpango wa taifa kwa vijana NYS.
.
RELATED VIDEOS