Kipkorir na Rumokoi washinda mbio za Stanchart
25th October, 2015
Joshua kipkorir na Elizabeth Rumokoi ndio washindi wa makala ya mwaka huu wa mbio za Standard Chartered Nairobi Marathon zilizoandaliwa mjini Nairobi . Wawili hao walitwaa shilingi millioni moja nukta tano kila mmoja kwa ushindi wao. .kwenye mbio za kilomita 21 Patrick Kipngeno na Purity Jebichii waliibuka na ushindi.