×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa mbunge wa eneo bunge la Bamachoge anawaomba Wakenya kumsaidia

14th October, 2015

Alikuwa mbunge wa eneo bunge la Bamachoge baina ya miaka ya 1998- 2002 na sasa hana tena la kujivunia. Jina lake likisalia katika kumbukumbu ya historia ya Kenya ila hali yake haiambatani na taji alilokuwa nalo. Hali yake iko taabani akiwa sasa anawaomba Wakenya kumsaidia, jambo linalosababisha Wakenya kujiuliza…ikiwa mtu aliyekuwa mbunge anauwezo wa kutafuta msaada kutoka kwa watu… Sembuze mamilioni ya Wakenya wanaozidi kuathirika na magonjwa kadha wa kadha. Saida Swaleh na taarifa hiyo
.
RELATED VIDEOS