×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Martha Karua amejitokeza kukashifu matamshi ya mbunge wa Gatundu Kusini ,Moses Kuria

21st September, 2015

Kinara wa chama cha NARC –K Martha Karua amejitokeza na kukashifu matamshi ya mbunge wa Gatundu Kusini ,Moses Kuria aliyedai kwamba Karua alihusika katika kutafuta mashahidi ghushi kwenye kesi ya jinai inayomkabili naibu rais William Ruto kule The Hague. Karua sasa ametishia kuwa atamshtaki Kuria mahakamani . Geff Kirui na maelezo zaidi.
.
RELATED VIDEOS