Picha za kipekee za mmoja wa watu walionaswa mjini Garissa na kufikia sasa hajapatikana
24th August, 2015
Taarifa za watu kupotea au kupatikana wameuawa katika maeneo tofauti hapa nchini zimeonekana kukithiri., ni hapo jana ambapo miili ya watu waliopotea ilipatikana katika kaunti ya Murang’a. Mwanahabari wetu Hussein Mohammed amepata picha za kipekee mmoja wa watu walionaswa mjini Garissa na kufikia sasa hajapatikana.