Wasichana waliokuwa wakimlaki Rais Mstaafu Daniel Arap Moi sasa wanaishi kwa uchochole
17th August, 2015
Siku hizi anaishi maisha ya uchochole, hata ni vigumu kwa wengi kuamini kwamba Susan Wangari akiwa msichana mdogo alikuwa mmoja wa wasichana waliokuwa wakimlaki Rais Mstaafu Daniel Arap Moi. Aidha Susan amemlaki Nelson Mandela na wengine.