Elimu kwa wasichana Kilifi inakumbwa na changamoto moja kuu ya mimba za mapema
16th August, 2015
Elimu kwa wasichana katika kaunti ya Kilifi inakumbwa na changamoto moja kuu; mimba za mapema... Kutokana na hali hii wazazi katika kaunti sasa wameanza kuwarai wasichana wao waliotungwa mimba mapema kurejea shuleni pindi wakishajifungua. John Juma alizuru maeneo hayo na kuandaa makala haya maalum.