Maabara mengi hayajapata idhini maalum, yasema idara ya kuidhinisha maabara - KENAS
11th August, 2015
Je umepeleleza ubora wa huduma kwenye maabara ambayo wewe huelekea kila unapokumbwa na tatizo la afya?
Kulingana na idara ya kuidhinisha huduma za maabara nchini KENAS maabara mengi hayajapata idhini maalum