Inspekta mkuu wa Polisi Joseph Boinnet akataa magari ya kivita kutumika bila cheti au leseni maalum
29th July, 2015
Inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinnet amesema kuwa hakuna mkenya atakaye ruhusiwa kutumia magari ya kivita bila ya cheti au leseni maalum. Magari haya ni pamoja na yale yenye uwezo wa kuzuia kupenya kwa riasai.