×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali kutoa hundi ya shilingi bilioni moja kufadhili ufufuzi wa kampuni ya Mumias Suigar.

8th July, 2015

Licha ya Serikali kutoa hundi ya shilingi bilioni moja kufadhili ufufuzi wa kampuni ya mumias viongozi wa eneo wanadai huenda kampuni hiyo ikakosa kufufuliwa. Gavana wa Busia Sospeter Ojaamong anasema tayari ameanzisha mpango wa kujenga kampuni mpya za sukari kuwahudumia wakulima wa eneo hilo ili wasitegemee kiwanda cha Mumias. Robert Wanyonyi ana maelezo zaidi.
.
RELATED VIDEOS