Steven Gerrard alizinduliwa rasmi kwa mashabiki wa timu ya Los Angeles Galaxy Marekani.
8th July, 2015
Aliyekuwa nahodha wa klabu ya uingereza ya Liverpool Steven Gerrard alizinduliwa rasmi kwa mashabiki wa timu ya Los Angeles Galaxy huku akijiandaa kushiriki katika mchuano wake wa ufunguzi na ligi ya Marekani.