Maandamano kupinga mradi wa nyumba uliosimamiwa na shirika la reli nchini
14th June, 2015
Shughuli katika barbara kuu ya Jogoo hapa jijini zimetatizika baada ya baadhi ya wenyeji kufanya maandamano kupinga mradi wa nyumba uliosimamiwa na shirika la reli nchini kwa ushirikiano na benki ya dunia.